Adhabu ya kifo yahalalishwa Serikali ya Marekani imeidhinisha adhabu ya kifo ianze tena kutekelezwa, baada ya adhabu hiyo kusitishwa miaka 16 iliyopita, ambapo imehalalishwa kisheria katika majimbo 29 nchini humo. Read more about Adhabu ya kifo yahalalishwa