Ajali ya Rufiji : Ndugu watakiwa kupimwa DNA
Hospitali ya Taifa ya Muhmbili imesema itaanza kutumia vipimo va DNA kwa ajili ya kuwatambua marehemu waliofariki kwenye ajali iliyotokea Kibiti ambapo kwa sasa miili yao imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti.

