Msajili wa vyama awachana wapinzani wa aina hii
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Sisty Nyahoza, amekipongeza chama cha NCCR Mageuzi kwa kuendelea kutii sheria na matakwa ya nchi na kuachana na ile tabia ya wapinzani wanaoendekeza chuki, bugudha, matusi pamoja na masuala yanayoleta mitafaruku katika nchi.