Matatizo ya wanafunzi wa bweni yatatuliwa Makabidhiano ya taulo za kike katika Shule ya Sekondari ya Tura Jumla ya wasichana 170 katika shule ya Sekondari Tura iliyopo Uyui Tabora, wamepata taulo za kike watakazotumia kwa zaidi ya mwaka mmoja. Read more about Matatizo ya wanafunzi wa bweni yatatuliwa