''Kaandike barua za uhamisho wapewe'' - Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemwagiza Afisa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa anayeshughulikia Elimu ya msingi, Bw. Selemani Mrope, atafute walimu wawili kutoka Ruangwa na kuwahamishia kata ya Nanganga mara moja.