Muhimbili wabainisha hali ya Azim Dewji Azim Dewji akiwa amelazwa Msemaji wa Hosptali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha mifupa( MOI) Patrick Mvungi, amethibitisha uwepo wa mfanyabiashara Azim Dewji katika hospitali hiyo ambapo kwa sasa anaendelea vizuri. Read more about Muhimbili wabainisha hali ya Azim Dewji