Stars kulipa kisasi, kuvuna 10 mil kwa dakika 90? Taifa Stars dhidi ya Harambee Stars Leo ndiyo siku ya Watanzania kulipa kisasi kwa Wakenya katika soka hasa baada ya kumbukumbu mbaya ya kichapo walichokipata katika michuano ya AFCON. Read more about Stars kulipa kisasi, kuvuna 10 mil kwa dakika 90?