Mbunge alalamika kuambiwa hatorudi 2020

Mbunge wa Simanjiro kupitia CCM James Ole Milya, ambaye alihamia chama hicho akitokea CHADEMA, ameeleza kutishiwa na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Manyara, kuwa hawezi kurudi tena kugombea jimbo hilo, kwa kile alichokidai watu hao wana ukaribu na baadhi ya viongozi wa juu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS