Makonda apiga marufuku kuingia mjini bila kuoga
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda, leo Julai 29 amezindua kampeni ya tano ya usafi yenye lengo la kuendeleza kufanya usafi kwa jiji hilo ikiwa ni hatua za maandalizi ya kupokea ugeni wa viongozi wa SADC.