Adondoka kutoka ghorofa ya 5 akifanya mazoezi Alexa Terrazas alipokuwa akifanya mazoezi Msichana mwenye umri wa miaka 23, Alexa Terrazas wa nchini Mexico, ameanguka futi 80 kutoka ghorofani pindi alipokuwa akifanya mazoezi ya Yoga. Read more about Adondoka kutoka ghorofa ya 5 akifanya mazoezi