Ofisa wa Serikali akutwa amefariki juu ya mwembe

Msemaji wa Wizara ya Fedha na Mipango Benny Mwaipaja, ameeleza kutokea kwa kifo cha mfanyakazi mwenzao, aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Fedha za Nje, Mhandisi Leopold Lwajabe, ambaye mwili wake umekutwa ukiwa umening'ínia juu ya mwembe Wilayani Mkuranga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS