"Pete ya Jaguar ni mwanzo, mimi mdogo" - Lulu Diva
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, mwanadada Lulu Diva amezungumzia juu ya suala la pete ya uchumba inayosemekana amevishwa na msanii na Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Njagua Kanyi, maarufu 'Jaguar'.