Zahera ataja mchezaji mmoja aliyesalia kutua Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa usajili wa klabu hiyo umekamilika kwa asilimia kubwa na malengo yametimia kuelekea msimu mpya wa 2019/20. Read more about Zahera ataja mchezaji mmoja aliyesalia kutua