'Hamtajuta mkiwekeza Tanzania' - Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na viongozi wa kampuni ya Toshiba nchini Japani, ambapo amewashawishi waje nchini na wafungue ofisi kubwa na waanzishe viwanda vya bidhaa za elektroniki watakavyoona vinafaa.

