Walipa milioni 341, wasifungwe jela miaka 20
Madereva wawili na Wafanyabiashara wanne wa Madini ya Dhahahu wamenusurukika kwenda jela miaka 20, baada ya kulipa faini ya zaidi ya Shilingi Milioni 341, baada ya kukiri kosa la kusafirisha la madini ya yenye thmanai ya zaidi ya Shilingi bilioni 2.

