Baada ya wanafunzi kuuawa, shule zafungwa Mamlaka ya utawala wa kijeshi nchini Sudan imeamuru shule zote nchini humo kufungwa kuanzia leo Jumatano ya Julai 31. Read more about Baada ya wanafunzi kuuawa, shule zafungwa