Yanga yawapiku mahasimu wao Simba Mashabuki wa Simba na Yanga Klabu ya soka ya Yanga imewapiku mahasimu wao wa jadi Simba katika kutambulisha wimbo rasmi wa klabu kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa. Read more about Yanga yawapiku mahasimu wao Simba