Uhamiaji yafunguka kukamatwa kwa mwandishi
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imesema inamshikilia mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera kwa mahojiano, hii ni baada ya idara hiyo kupokea taarifa kutoka kwa wasamalia wema juu ya utata wa uraia wake.