Familia yadai kifo cha ofisa W. ya Fedha ni utata

Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi msaidizi wa Fedha za nje kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Mhandisi Leopold Lwajabe imethibitisha kuutambua mwili wa ndugu yao huyo licha ya kuukuta ukiwa na mavazi tofauti na aliyokuwa amevaa siku ya kupotea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS