Baba Levo 'chupuchupu' kuvuliwa Udiwani

Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga mkoani Kigoma imeamuru kwenda jela miezi 5 Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini, Claiton Levocatus Chipando (Baba levo), kwa kosa la kumshambulia Askari wa Usalama barabarani, Msafiri Ponera.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS