Atumbuliwa kwa kutumia 66mil kununua sumu ya mchwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Agosti 1, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Vijini Kayombe Rioba baada ya utendaji wake wa usimamizi wa miradi ya maendeleo kutoridhisha.