Marioo ataja siri ya 'kumkataa' Amber Lulu

Mkali wa Muziki wa BongoFleva kwa sasa Omary Ally 'Marioo', amesema hawezi kutoka kimapenzi na msanii mwenzake Amber Lulu, kwa kile alichokidai msanii huyo ana mambo mengi sana ambayo yeye hayawezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS