Akamatwa kwa kujifanya mkuu wa TAKUKURU

TAKUKURU

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoani Mara inamshikilia mtu mmoja ajulikanae kwa jina la Shabani Mohamed Kalla (30) kwa kosa la kujifanya mkuu wa  Takukuru Mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS