Kiongozi ashushwa cheo kufuatia kukatika kwa umeme
Kufuatia hitilafu ya kukatika kwa umeme kulikotokea asubuhi ya Agosti 1 katika maeneo mbalimbali ya nchi, msimamizi wa nguzo kubwa za umeme ameshushwa cheo kwa kile kilichoelezwa kwamba Serikali haiwezi kufanyakazi na watendaji wazembe.