Waziri ataja matatizo ya kufanya kilimo Tanzania
Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi inakabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo mabadiliko ya tabia nchi yanayochangia kupungua kwa uzalishaji na tija ya mazao, uhaba wa malisho ya mifugo na rasilimali maji, teknolojia duni za kuhifadhi mazao baada ya mavuno na uhaba wa miundombinu ya masok