Gondwe aingilia kati kumsaka dereva aliye'overtake Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe ameliagiza jeshi la polisi mkoa wa Tanga kumsaka kokote kule aliko dereva wa basi la Buffalo aliyesababisha ajali baada ya ku'overtake' eneo lisiloruhusiwa. Read more about Gondwe aingilia kati kumsaka dereva aliye'overtake