Droo ya 16 bora Sprite Bball Kings 2019 yakamilika
Droo ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Sprite Bball Kings 2019 inayofanyika kwa msimu wa tatu mfululizo ikiandaliwa na East Africa TV na East Africa Radio kwa ushirikiano na kinywaji cha Sprite, imefanyika leo, Agosti 26 katika ofisi za EATV, Mikocheni Jijini Dar es Salaam.