'Tujiandae kisaikolojia' - Etienne Ndayiragije
Kaimu kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije amesema wamejipanga kuhakikisha kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinafanya vizuri leo dhidi ya wenyeji Kenya katika kuwania kufuzu michuano ya CHAN.