Gari la Mkuu wa mkoa wa Mara lagongeshwa na mtoto Gari hilo baada ya kupata ajali Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara RPC Juma Ndaki, amesema hali ya gari la Mkuu wa Mkoa huo Adam Malima, hairidhishi kabisa hii ni baada ya gari hilo kugongeshwa na mtoto wa dereva na kuharibika vibaya. Read more about Gari la Mkuu wa mkoa wa Mara lagongeshwa na mtoto