Ripoti kamili kuhusu ndege iliyoteketea Mafia leo

Kamanda wa Polisi kanda Maalumu ya Rufiji  Onesmo Lyanga.

Kamanda wa Polisi kanda Maalumu ya Rufiji  Onesmo Lyanga, amethibitisha kutokea kwa ajali ya ndege ndogo ya shirika la Tropical, iliyokuwa ikiruka kutoka katika kiwanja cha ndege cha Mafia kuelekea Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS