Mama afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe kilo 28 Utumbo Mama mmoja mkazi wa Mbozi mwenye umri wa miaka 43 amefanyiwa upasuaji katika hospitali ya mkoa wa Songwe na kutolewa uvimbe mkubwa kwenye kizazi wenye uzito wa zaidi ya kilo 28. Read more about Mama afanyiwa upasuaji na kutolewa uvimbe kilo 28