'Tumeleta fursa nchini' - Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema wiki ya maonesho ya nne ya viwanda ya nchi za SADC ni fursa pekee ya kutangaza bidhaa zinazozalishwa hapa nchini. Read more about 'Tumeleta fursa nchini' - Majaliwa