Muhimbili yaeleza sababu ya vifo vya majeruhi
Kufuatia kuwepo kwa maswali kadhaa ya watu kuhoji, sababu inayopelekea majeruhi wa ajali ya moto waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufariki kila iitwapo leo, uongozi wa hospitali hiyo umebainisha chanzo cha vifo hivyo.