Barnaba aeleza kitu anachochukia mwilini mwake Leo tumepiga stori na msanii Barnaba Classic na amezungumzia suala la mastaa wengi kutohudumia familia zao pamoja na kitu ambacho hapendi kufanya tena kwenye mwili wake. Read more about Barnaba aeleza kitu anachochukia mwilini mwake