Mkasa aliokutana nao Madee akiwa Mahabusu Msanii Madee (aliyefungwa pingu). Rais wa Manzese na Boss wa lebo ya 'MMB' Madee Seneda, leo amekumbuka tukio ambalo limewahi kumtokea miaka mitatu iliyopita baada ya kukamatwa na Polisi. Read more about Mkasa aliokutana nao Madee akiwa Mahabusu