RPC Ilala akanusha kukamatwa kwa Mwandishi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala Zuberi Chembela, amekanusha taarifa za kukamatwa kwa mwandishi wa habari za kichunguzi Bollen Ngetti, anayedaiwa kukamatwa jana Agosti 8 na kupelekwa kituo cha polisi cha Stakishari.