Polisi Mwanza yatoa maelezo kuhusu ajali ya basi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi wa chanzo cha ajali ya basi la Abood, iliyotokea leo Agosti 9, majira ya saa 12:00 asubuhi, eneo la Mkolani - Msikitini jijini Mwanza na kupelekea kifo cha mtu mmoja na majeruhi watatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS