"Uwoya alitaka kuniharibia ndoa yangu"- Mwijaku Msanii wa filamu na tamthilia Mwijaku, ameeleza sababu ya yeye kutupiana maneno katika mitandao ya kijamii na msanii mwenzake Irene Uwoya. Read more about "Uwoya alitaka kuniharibia ndoa yangu"- Mwijaku