Sprite Bball Kings 2019 kuzinduliwa Mlimani City
East Africa Television na East Africa Radio ikipewa nguvu na kinywaji cha Sprite, imeandaa mashindano ya mpira wa kikapu kwa wanaume ya Sprite Bball Kings yanayotarajia kuanza hivi karibuni kwa msimu wa tatu.