Mastaa waungana kuomboleza ajali ya Morogoro Picha inayotumika zaidi mtandaoni kutoa pole. Baada ya kutokea kwa ajali ya Lori la mafuta na kuwaka moto mkoani Morogoro, ambayo imesababisha zaidi ya watu 60 kupoteza maisha, wasanii wameeleza kuguswa na msiba huo. Read more about Mastaa waungana kuomboleza ajali ya Morogoro