Mbunifu wa mavazi asema Jux hajui kuvaa Mbunifu wa mavazi Elly Fire. Kaka wa msanii Ice Boy aitwaye Elly Fire ambaye ni mbunifu wa mavazi hapa nchini Tanzania, amenyoosha maelezo kwa kumponda msanii Jux kuwa hajui kuvaa. Read more about Mbunifu wa mavazi asema Jux hajui kuvaa