RC aamuru wananchi kurudishiwa pesa zao

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela, ametoa wiki  tatu kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza kurudisha fedha za wananchi zilizochangishwa kwa muda wa miaka mitatu bila miradi kutekelezwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS