Wizara ya Uchukuzi yatoa tamko ajali Morogoro

Eneo la ajali.

Wizara ya  Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,  imepokea kwa masikitiko makubwa ajali ya Lori iliyotokea eneo la Msamvu Mkoani Morogoro na kuwataka watanzania wawe na moyo wa kusaidia badala ya kuhujumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS