Waziri Mkuu atoa tamko kuhusu mikopo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESBL), iachane na kasumba ya kuwanyima mikopo baadhi ya wanafunzi kwa kigezo cha kusoma katika shule binafsi bila ya kujiridhisha kama wanatoka kwenye familia zenye uwezo au ziszo na uwezo.