Kinachoendelea kesi ya kuua na kumchoma moto mke
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, leo Septemba 10 ilikuwa inaendelea kusikiliza kesi ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Khamis Saidy, anayekabiliwa na mashtaka ya kumuua na kisha kumchoma moto Mke wake.

