Waziri Mkuu aunda tume, uchunguzi ajali ya Moro
Waziri Mkuu Kassi Majaliwa amesema ameunda tume kwa ajili ya kuchunguza tukio hilo la ajali ya lori iliyosababisha vifo vya watu 69, na kusema watu ambao hawakuwajibika kwenye ajali hiyo watachukuliwa hatua.