'Ajali ikitokea kaeni pembeni' - Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema Watanzania hawana budi kujifunza kupitia tukio la ajali ya lori iliyopelekea vifo vya Watanzania zaidi ya 60. Read more about 'Ajali ikitokea kaeni pembeni' - Kangi Lugola