Jafo awataka WaTZ kuiombea nchi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Selemani Jafo, amewataka Watanzania kuungana pamoja na kuendelea kuliombea taifa na kumuomba Mungu, atuepushe na majanga kama yanayojitokeza kwa sasa. Read more about Jafo awataka WaTZ kuiombea nchi