Baada ya Ronaldo kutaka 'dinner' na Messi wakutana
Tuzo ya 'THE BEST'
Kama ilivyokuwa kwenye tuzo za mchezaji bora wa Ulaya kwa upande wa wanaume, nyota watatu Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Virgil van Dijk, wameingia kwenye tatu bora ya tuzo za FIFA 'THE BEST'.