"Pato la wananchi wangu limeongezeka" - RC Kagera
Mkuu wa Mkoa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti amesema kuwa uchumi wa mwananchi wa Kagera umekua ukilinganisha na miaka iliyopita kutoka kiasi cha shilingi 667,000 mwaka 2010, hadi kufikia shilingi 1300,000 mwaka 2018.